Kioune

Kioune (au Kiounge) ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waoune. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kioune imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kioune iko katika kundi la Kibougainville ya Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search